Monday, July 25, 2016

BEST OPEN SCHOOL WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO HUKO BAGAMOYO



Wanafunzi wa BEST open school wakiwa na baadhi ya waalimu wao wakifuatilia maelezo ya kihistoria katika sehemu ya kihistoria ya Kaole huko Bagamoyo



 Waalimu wa BEST open school wakiwa katika picha mbalimbali

 Dada mkuu wa BEST open school akiwa katika moja ya matukio huko Kaole Bagamoyo



wanafunzi wa BEST open school wakiwa katika pozi mbali mbali